Sports

MSIMAMO NBC Championship 2025/2026

MSIMAMO NBC Championship 2025/2026

Ligi ya Daraja la Kwanza, maarufu NBC Championship Tanzania, ni moja ya michuano inayovutia mashabiki wengi nchini Tanzania. Ligi hii ni ya pili kwa ukubwa nchini Tanzania nyuma ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League), na inatoa nafasi kwa timu kuonyesha vipaji na Kupanda Daraja kwenda Ligi Kuu Kila Msimu.

NBC Championship inahusisha timu 16 kutoka maeneo mbalimbali nchini Tanzania, ambazo hucheza mfumo wa ligi kamili na kila timu hukutana na timu nyingine mara mbili (nyumbani na ugenini). Mwisho wa msimu, timu bora hupandishwa daraja kwenda Ligi Kuu (NBC Premier League), huku zile zenye alama chache zikishuka daraja kwenda Ligi Daraja la Pili (First League). Huu hapa ni Msimamo Wa NBC Championship 2025/2026.

Leave a Comment