RATIBA ya NBC Premier League 2025/2026
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania leo Ijumaa ya tarehe 29 Agosti 2025 imetangaza ratiba ya Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025/2026.
Ratiba hiyo inaonesha kuwa Ligi Kuu ya NBC Premier League 2025/2026 itaanza tarehe 17 September 2025 na kutamatika tarehe 23 May 2026. Kuona Ratiba Kamili ya NBC Premier League 2025/2026 tafadhali bonyeza link hapa chini. NBC PREMIER LEAGUE 2025/2026 FIXTURES
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD RATIBA KAMILI YA NBC PREMIER LEAGUE 2025/2026