Sports

JEZI Mpya Za Simba SC 2025/2026, Uzi Mpya wa Simba SC 2025/2026

JEZI Mpya Za Simba SC 2025/2026, Uzi Mpya wa Simba SC 2025/2026

Klabu ya Simba SC Leo Jumapili ya tarehe 31 August 2025 imefanya Uzinduzi wa Jezi Mpya Za Msimu Mpya wa 2025/2026 Katika katika ukumbi wa Super Dome Masaki kuanzia saa moja usiku. Baada ya uzinduzi jezi za Simba zinauzwa katika maduka yote nchi nzima bei ya rejareja ni Tsh Shilingi 45,000.

Jezi za Simba SC 2025/2026 Kwa michezo ya nyumbani.

Leave a Comment