Sports

MATOKEO Yanga vs Simba Ngao ya Jamii 16 September 2025

MATOKEO Yanga vs Simba Ngao ya Jamii 16 September 2025

Ile mechi ya kuukaribisha msimu mpya wa Ligi ya NBC 2025/2026 (Ngao ya Jamii 2025) itapigwa Septemba 16, 2025.

Mechi hiyo itakuwa kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC Kuanzia Saa 11:00 jioni kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Kuelekea mechi hiyo, Habari Web Blog itakuletea Update zote za Kuanzia dakika ya Kwanza hadi ya 90, Yanga vs Simba tarehe 16 September 2025

LIVE Yanga SC vs Simba SC 16 September 2025

 

 

Leave a Comment