Sports

SIMBA vs Gor Mahia Simba Day 2025

SIMBA vs Gor Mahia Simba Day 2025

Klabu ya Simba imeialika Gor Mahia kutoka Kenya kwenye kilele cha tamasha la Simba Day 2025.

Simba Day 2025 itafanyika Septemba 10 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa ikiwa ni utaratibu wa kila mwaka kwa klabu hiyo kualika timu kutoka nje ya nchi na kucheza nayo mechi ya kirafiki kwenye siku hiyo ambayo huambatana na utambulisho wa wachezaji watakaoitumikia Klabu hiyo Kwa Msimu huo wakiwepo wapya. Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, Ahmed Ally ameeleza bayana sababu za kuwaalika Gor Mahia kwenye kilele cha SimbaDay mwaka huu 2025. Ahmed Ally Pia ameelezea kuwa uzinduzi wa wiki ya Simba unatarajia kufanyika Mafinga mkoani Iringa, na ratiba kamili ya tukio hilo la uzinduzi wa siku hiyo.

BOFYA HAPA KUTAZAMA

Leave a Comment