Sports

RATIBA ya UEFA Champions League Phase 2025/2026

RATIBA ya UEFA Champions League Phase 2025/2026

Droo ya hatua ya Ligi (League Phase) ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa msimu wa 2025/2026 imefanyika huko Monaco huku vigogo barani Ulaya wakiwemo wababe sita kutoka Ligi Kuu England wakibaini wapinzani wao kwenye ‘League phase’ inayoshirikisha timu 36.

Michezo ya raundi ya kwanza itaanza kuchezwa kati ya Septemba 16 na 17. Kila timu itacheza mechi nne nyumbani na nne ugenini na Fainali itafanyika katika uwanja wa Puskás Aréna mjini Budapest tarehe 30 Mei 2026 kwa wakati uliorekebishwa wa 18:00 CEST (GMT+2). Droo Kamili ya League Phase 2025/2026 tazama hapa chini.

Leave a Comment