MSIMAMO Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2025/2026
Tanzania Women’s Premier League ni Ligi Kuu ya Wanawake nchini Tanzania, Ligi hiyo inahusisha timu za Wanawake za Vilabu.
Ili kupata Bingwa wa Ligi hiyo ni lazima iwepo timu yenye Pointi nyingi zaidi ya timu zingine zote baada ya Msimu husika Kukamilika. Huu hapa ni Msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) Msimu wa 2025/2026.